This is default featured slide 1 title

UVIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA...soma full story hapa

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, August 31, 2014

Hili Jimama Litaniua, Kila Akitaka Mambo Anamtoroka Mume Wake na Kuniita Hotelini Nimshughulike...SOMA FULL STORY HAPA


Admin RAHA BONGO Huyu Mama Hapo kwenye Picha Anataka kuniua tu mimi kijana bado mdogo, Nilikutana naye Mlimani City Pale Game alikuwa akifanya shopping na watoto wake wadogo sasa vitu alivyonunua vilikuwa vingi nikamsaidia kuvipeleka kwenye gari lake , akanishukuru na kuniomba number yangu ya simu, sasa kuanzia hapo tukawa tunawasiliana lakini siku zilivyozidi kwenda tukajikuta tunachat mambo ya mapenzi na siku moja tukakutana nikampa dozi 3 za nguvu, sasa imekua shida maana kila week ananitafuta mara mbili nimpe mambo eti anasema mume wake hawezi mambo , kila mara huwa analipia hoteli yeye na kila kitu mpaka vinywaji mimi kazi yangu ni dozi , sasa nimejaribu kumchumguza nimengundua ni Mke wa Mwanasiasa Maarufu hapa Tanzania. Nimeingiwa na Woga nahofia maisha yangu mimi bado mdogo ndio natafuta maisha.. Naomba Ushauri ...

BREAKING NEWS:GARI LA KIGOGO LATEKETEA KWA MOTO MOROGORO......yasemekana ni jaribio la kigaidi


Gari dogo likiteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro.




Gari la zimamoto likiwa limefika na kuanza kazi ya kuuizima moto huo.



GARI dogo ambalo halikupatikana namba zake limeteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro. Mpaka mpigapicha hizi akiondoka eneo la tukio, chanzo cha moto huo kilikuwa bado hakijafahamika. lakini wananchi wanasema linaweza kuwa shambulio la kigaidi

HAWA NDIO WANAWAKE WAZURI SANA NCHINI KENYA.

Kutokana na Uchunguzi uliofanywana mtandao mmoja huko Kenya, umeeleza kuwa Kenya ni moja ya nchi yenye wanawake wazuri sana waliojaliwa, tena baadhi yao ni wafanyakazi katika Vyombo vya habari.



Sasa hapa tunapozungumzia madem ambao wameumbika katika hidara zote ndani na nje huko kenya ni lazima uwataje Madem hawa ambao kila kukicha wamekuwa wakizungumziwa katika vyombo mbalimbali vya habari na kufuatiliwa kwa karibu sana. kutokana tu na Uzuri walionao.

Kwa mujibu wa misemo mingi ya watu wengi kwamba Mwanamke akishazaa ama kupata mtoto, kitu ambacho kinatokea ni kwamba mwanamke hupoteza uzuri na uhalisia wa umbo lake la kawaida. sasa hawa nitakaowataja hapa  ni tayari wameshazaa lakini cha kushangaza ni kuwa Bado maumbo yao yanaongezeka mvuto kila siku!! Kati ya wasichana hao ni pamoja na.

1. Sheila Mwanyigah
\
This lady has been holding it down since the days Before Ghafla and she's still got it like an 8 month pregnant lass!

2. Corazon




3. Avril
Pity she has a taste for South African cooking! That figure? Heh! It makes sense. No questions asked! And if there are any, the answer is Avril's figure! Who is the hottest singer? Avril's figure! Who did God's Chosen Blogger turn to for inspiration? Avril's figure.


5. Grace Msalame


6. Vera Sidika


7. Mumbi Maina


MMMMMMMH DIAMOND SASA MTEGONI: WEMA HUYOOOOOOOOOOO KWA MZUNGU


MALOVEE? Mzungu aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga’ anadaiwa kuingilia penzi la mwigizaji Wema Sepetu.
 Ishu hiyo imebumburuka ikiwa ni siku chache tangu Diamond atangaze kuwa hayupo tayari kuoa akidai atashuka kimuziki.

KUMBE ALIMZIMIA KITAMBO

 Kwa mujibu wa chanzo makini, Mcroatia huyo alimzi mia Wema mara tu baada ya kutua nchini Desemba, mwaka jana na kumuona mlimbwende huyo ‘akishaini’ kupitia vyombo vya habari, akajiwekea nadhiri kwamba lazima ampate.

CHANZO CHATIRIRIKA
“Loga alimzimia kinoma Wema baada ya kumuona kwenye vyombo vya habari na kuanza kufuatilia baadhi ya filamu zake ambazo zilikuwa zilimkonga moyo kila alipozitazama. 
“Baada ya kuvutiwa naye, mtu mzima (Loga) akaanza kutafuta mbinu za kumuimbisha Wema,” kilidai chanzo.
 Chanzo hicho kilidai kwamba baada ya kocha huyo kupata wazo la kumtongoza Wema, alianza kumsaka katika viwanja ambavyo aliamini mrembo huyo anatembelea ili aweze kufanikisha azma yake ya kuonja penzi la Beautiful Onyinye.

NDOTO ZAANZA KUTIMIA
 Chanzo hicho kilizidi kutiririka kuwa, mara baada ya wawili hao kukutana, pointi ya kwanza muhimu kwa Loga ilikuwa ni kubadilishana namba na mrembo huyo kisha kufanya naye mazungumzo ya kawaida kwa dakika kadhaa.
 Ilisemekana kwamba, siku hiyo Loga alionekana mwenye furaha kwani licha ya kubadilishana namba za simu, ilielezwa kuwa walipata fursa ya kupiga picha za pamoja na kutumiana kupitia simu zao hivyo ukaribu wao kuanza kushamiri kuanzia hapo.

AANZA KUIMBISHA
 Ilidaiwa kuwa kitendo cha kocha huyo kupata namba ya Wema ilikuwa bahati kama kuokota madafu kwenye miti ya miembe, haraka alianza kutuma maombi ya penzi pasipo kufunguka moja kwa moja kisha badaaye alifunguka kabisa.
“Alianza kwa salamu, akawa anachombezachombeza na maneno ya mitego ambayo mtu mzima ukitumiwa meseji kama hizo unajua kabisa kuna kitu mtu anakitaka kutoka kwako. Alipoona Wema haelekei mtegoni, akaamua bora kufunguka laivu, akamtumia meseji zinazoeleza hisia kali ya mapenzi,” kilidai chanzo hicho.

USHAHIDI HADHARANI
 Ili kuupata ukweli wa madai hayo, paparazi wa Risasi Jumatano alianza kuchimba undani wa sakata hilo ambapo kwa kutumia njia za ‘kiintelejensia’, alifanikiwa kunasa meseji (SMS) zilizotoka kwa Loga kwenda kwa Wema ambazo zilionesha dhahiri kwamba kocha huyo amedatishwa na staa huyo wa filamu na kuomba hifadhi ya kimalovee.Meseji hizo zilikuwa zikisisitiza kwamba Loga anamhitaji Wema lakini mtoto wa kike alikuwa mzit o kumkubalia mzungu huyo ambaye sasa amesitishiwa ajira yake na uongozi wa Msimbazi, mwishoni mwa wiki iliyopita kutokana na makosa mbalimbali. 


WEMA ANASEMAJE
 Ili kujiridhisha zaidi, paparazi wetu alimvutia waya Wema na kumuuliza kuhusiana na uhusiano wake na kocha huyo.
 Paparazi: Tumesikia Loga anakuimbisha, vipi umemkubalia au vipi?
 Wema: Mh! Nani kakwambia?
 Paparazi: Nijibu swali langu maana hata ushahidi wa meseji alizokutumia akionesha anakuhitaji, tumeziona na tunazo.
 Wema: Kwani kuna tatizo akinihitaji? Si mwanaume, ana haki ya kupenda kama walivyo wengine lakini ishu ni kumkubalia.
 Paparazi: Kwa hiyo wewe umemkubalia?
 Wema: Aaaa wapi, sipo interested na wazungu hata kidogo by the way mimi nina baby wangu Diamond.

MADAI MENGINE
 Wakati huohuo, mtu wa karibu na kocha huyo amepenyeza madai kuwa Loga alipanga kumhamisha Wema na kwenda kuishi naye nje ya nchi lakini haikujulikana mara moja kwamba ni nchi gani achilia mbali kama ilikuwa ni ‘gia’ ya kumpata mwigizaji huyo.
 Alipotafutwa Loga ili kuzungumzia madai hayo, hakupatikana mara moja hivyo jitihada zinaendelea, tega sikio kwenye magazeti ya Global.
 Kama hiyo haitoshi, pia Loga anadaiwa kutoka na mwigizaji Yvonne-Cherry Ngatwika ‘Monalisa’, madai ambayo mwigizaji huyo ameyakanusha vikali.  

Aibu Kubwa Kwa Lulu Michael, Mke Wa Kigogo Afunguka Na Aonyesha Meseji Za Ngono Alizokuwa Anatuma Lulu Kwenda Kwa Mume Wake, Tazama hapa


Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mienendo ya mume wangu kutokana na tabia yake kubadilika sana siku za hivi karibuni, nikabaini kuwa kuna msichana anawasiliana naye kwa kutumiana meseji za mapenzi, sikuwa na haraka nikaamua kufanya uchunguzi wangu kimyakimya”
“Wiki iliyopita mume wangu akiwa amekwenda kuoga akasahau kuzima simu yake,na siyo kawaida yake kuacha simu yake bila kuizima,mara meseji ikaingia,nikaangalia nikaona jina la mtumaji amesevu Lulu, moyo ukalipuka”
Ndivyo alivyoanza kuongea mama mmoja wa makamo anayefanyakazi katika ofisi moja nyeti katikati ya jiji la Dar alipokuja kuongea na mwandishi wetu wiki iliyopita baada ya ndoa yake kuingiliwa na mdudu mbaya….

Akiongea kwa masikitiko makubwa, mama huyo ambaye hakupenda kutaja jina lake kutokana na unyeti wa kazi anayoifanya, alidai kuwa msichana huyo anayetaka kuiharibu ndoa yake yenye miaka 25 jina lake ni Elizabeth Michael….

Mama  huyo  alidai  kuwa  jina  hilo  alilibaini  baada  ya  kukuta  meseji  za  mapenzi  kwenye  simu  ya  mume  wake  na  yeye  kuamua  kuifuatilia  namba  hiyo  kwa  kufanya  kama  anataka  kumtumia  pesa  msichana  huyo  na  kukugundua  jina  hilo….
Akiongea  kwa  upole, mama  huyo  alidai  kuwa katika  simu  ya  mume  wake, jina  la  mtumaji  lilikuwa  Lulu, lakini  alipofanya  uchunguzi  wake  wa  kujifanya  kama anatuma  pesa  kwa  namba  ya  msichana  huyo  ndipo  alipobaini  kuwa  mmiliki  wa  namba  hiyo  ni  Elizabeth  Michael…
Mwandishi  alimuuliza  mama  huyo  kama  anadhani  kuwa  msichana  huyo  anayetaka  kuiharibu  ndoa  yake  ni  muigizaji  maarufu  wa  filamu  hapa  nchini Elizabeth  Michael  “Lulu”, lakini  alikataa  kuthibitisha  hilo  kwa  madai  kuwa  tangu  siku  hiyo  namba  ya  binti  huyo  imekuwa  haipatikani….
“Baada  ya  kugundua  siku  ile ,  nilichukua  simu  yake  na  kutaka  kuwasiliana  naye  ili  niweze  kumuonya  mwenyewe  kimyakimya  kwa  wakati  wangu, wala  sikuwa  na  lengo  la  kuja  kwenye  vyombi  vya  habari , lakini  sikuwahi  kumpata  hewani  tena  kila  nilipojaribu  kumpigia”Alisema  na  kuongeza:
“Huenda  mume  wangu  alishtikia  kuwa  nimeona  ujumbe  ule, kwa  sababu  mimi  nilipoisoma  meseji  ile  sikuifuta, ili  akiona  meseji  imesomwa  aelewe  nimeshajua  kila  kitu, pengine  ndiye  aliyemwambia  binti  huyo  abadili  namba  yake”
Mwandishi  alimuomba  mama  huyo  ampatie  namba  ya  huyo  msichana  ili  kuweza  kujua  kama  ni  Lulu  muigizaji  ama  siyo ( mwandishi  anazijua  namba  zote  za  Lulu ), lakini  namba  hiyo  ni  tofauti  na  anazotumia  Lulu  Mwenyewe….
Mwandishi  alipojaribu  kama  kumtumia  pesa  msichana  huyo, jina  lililotokeza  ni  Elizabeth Michael, na  alipojaribu  kuipiga  namba  hiyo  ilikuwa  haipatikani  hewani….
Juhudi  za  kumsaka  Lulu   ili  kuona  kama  anaitambua  namba  hiyo  hazikuzaa  matunda  kutokana  na  namba  zake  mbili  kutopatikana  na  nyingine  ikiita  bila  kupokelewa….
Angalizo:

Baadhi  ya  wasichana  wa  mjini  wamekuwa  wakitumia  majina  ya  wasanii  maarufu  katika  nyendo  zao  ili  kuwatapeli  watu. Miongoni  mwa  njia  wanazotumia  ni  pamoja  na   kujisajili  kwenye  mitandao  ya  kijamii  kwa  majina  ya  watu  maarufu  ili  kuwatapeli  watu.

Napenda Kupiga Chabo, Mpaka Mke Wangu Mwenyewe Huwa Namchungulia....soma full story hapa


Wadau Sijui haka Katabia ni Ugonjwa ama Kawaida, Nimekuwa Mtu wa Kupiga chabo sana yaani kabla sijaoa nilikuwa nakaa uswahilini sasa kule mabafu yapo nusu nusu na mengine ni mabafu ya magunia tu, sasa nilikuwa nakatabia kakupiga chabo wadada ama wamama wakiwa wanaoga , kwa sasa nimeoa nina mke na mtoto mmoja ila kale katabia ka kupiga chabo bado kananisumbua mpaka nikuwa namvizia mke wangu akiwa anaoga au akiwa amekaa kihasara nampiga chabo bila yeye kujua hapo napata raha na moyo kusuuzika...Nataka niache haka katabia nifanyaje?

Faida ya Msichana mwenye Makalio makubwa kwenye SEX, From my Personal Experince



1. Makaliomakubwa hunisaidia kujua kama mwenzi wangu amefika orgasm, mfano ikitokeana hit Doggie basi wakati wa orgasm (most of girls) makalio huwayanatikikisa (twitch, fasciculate ) ambayo huwa inaambatanana miguno ya kimhaba inayo fifia ambayo kabla ya hapo huwa ya sautikubwa... hii unifanya nijue what to next kumzidishiautamu zaidi. Hii kitu inukuwa ngumu kunotice kwa msichana ambaye nimwembamba just have to relay from other signs

2.Makalio makubwa huwa yananifanifanya iwe rahisi kwangu kuyashika (grab) especially wakati wa doggie.ikizingatiagym imekubali na kifua na mabega yametanuka ( shoulder to shoulerdistance ni kubwa). itaniwia ngumu sana kama msichana an mwili mdogo namakalio yake pia

3. msichana mwenye makalio makubwa obvious atakuwa na nyama nyama kwenyemapaja hii nyama nyama zinakuwa na act kama chock absober na kucushion ile hiting force ,especially when adrenaline na sympathetic flow is atpeak and sex is becoming hardcore, katika situation hiii , kimbau mbau anawezateguka nyonga. if ur not doing that smoothly.

4 Makalio makubwa yana yanasaidia kutengeneza ile NUMBER 8 ya mwili,mfano ukutane na msichana makalio makubwa na ni mtu wa mazoezi hana na mikunjoya kunenepa mgongoni na tumboni , and ur hitting doggie, ukitazama her PERFECTARCH from the behind to the the dorsal neck yaani ni fullHamasa.

Kwa kumalizia siwabagui na kuwanyanyapaa wasichana wembamba, kwani kwenye hayamambo siku zote ni combinatin ya vitu vingi. Wembamba nao wana vituadimu.. Its just me from what i ahave been experiencing....
What always blow my mind away ni pale slim cute girl gives blowjob . alwaysfeels perfectly accomodated

Naomba Ushauri Jinsi ya Kufanikisha Kumtoa Mpenzi Wangu Bikira Bila Maumivu


Mzee Mzima yamenishinda Kila nikijaribu Kuweka kitu yangu , Mchumba wangu anaumia sana so tunashindwa kuendelea , miaka miwili sasa imepita tukijaribu anaumia sana na mie namuonea huruma akishaanza kulia tu natoa nisije muumiza...Mimi naamini mapenzi ni raha na si kuumizana so sitaki kumuumiza wangu wa maisha ...Sasa naombeni kama kuna mtu anajua njia raisi ya kutoa bikira ambayo mpenzi wangu hata umia hata kidogo..... 

AZAMA VIDEO YA MABASI YAENDAYO KASI YATAKAVYOFANYA KAZI JIJINI DAR