Thursday, August 28, 2014

AJALI: USHIRIKINA WAHUSISHWA NA AJALI YA BASI LA HOOD LILILOKUWA LINATOKA ARUSHA KWEND IRINGA JANA .....SOMA ZAIDI


NDEGE BUNDI ALIKUTWA SEHEMU YA TUKIO AKITAFUTA NYAMA
Basi la Hood lililopata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha.

Raia wakishuhudia ajali ya basi la Hood ilivyotokea. 

 Basi la Hood lililokuwa likitoka
HIVI NI BAHAZI YA VITU VILIVYO KUTWA SEHEMU YA TUKIO

Arusha kwenda Iringa llimepata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha. Basi hilo lilitaka kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokea ajali hiyo. Abiria wa basi wamenusurika , ila lori lilidumbukia darajani na hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha.

0 comments:

Post a Comment