Mtandao huu umetumiwa picha hii ya  mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo Mkoani Kagera vijijini ambae  amelalamikiwa na wazazi kufuatia wanafunzi wa shule hiyo kushindwa  kusoma vizuri kisa makalio yake 
makubwa ambayo kipindi akiwa anaandika  somo ubaona huku nyuma yakitikisika kwa staili ya kipekee.
Kwa mujibu wa mzazi huyo ambae alimvizia  dada huyo akiwa kwenye nyumba za walimu na kumpiga picha inayoonekana  hapo juu alisema" Unajuwa huyu mwalimu anafundisha kidato cha kwanza  huku ifahamike 
wanafunzi wengi wa umri huo ni wale wanaobarehe hivyo  inawauwiya vugumu kuvumilia shughuri aliyonayo mwalimu huyo nyuma"  Alisema mzazi huyo ambae aliomba hifadhi ya jina lake







0 comments:
Post a Comment