Thursday, August 28, 2014

UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI...!! TAZAMA PICHA ZA HARUSI YA MTOTO WA MIAKA 8 NA KIBIBI CHA MIAKA 61...!!

Hii ni harusi iliyowashutua watu wengi duniani na inaweza kuingia kwenye rekodi kubwa sana, harusi hiyo ilifanyika huko South Africa. Kati ya mtoto Sanele Masilela mwenye umri wa miaka 8 na Helen Shabangu mmama mwenye umri wa miaka 61 kufunga ndoa ya maisha, duuh!! hivi ni kweli jamani au ndiyo geresha tu, kwa huyo dogo.


0 comments:

Post a Comment