Gari dogo likiteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro.

Gari la zimamoto likiwa limefika na kuanza kazi ya kuuizima moto huo.
GARI dogo ambalo halikupatikana namba zake limeteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro. Mpaka mpigapicha hizi akiondoka eneo la tukio, chanzo cha moto huo kilikuwa bado hakijafahamika. lakini wananchi wanasema linaweza kuwa shambulio la kigaidi
0 comments:
Post a Comment