Sunday, August 31, 2014

Napenda Kupiga Chabo, Mpaka Mke Wangu Mwenyewe Huwa Namchungulia....soma full story hapa


Wadau Sijui haka Katabia ni Ugonjwa ama Kawaida, Nimekuwa Mtu wa Kupiga chabo sana yaani kabla sijaoa nilikuwa nakaa uswahilini sasa kule mabafu yapo nusu nusu na mengine ni mabafu ya magunia tu, sasa nilikuwa nakatabia kakupiga chabo wadada ama wamama wakiwa wanaoga , kwa sasa nimeoa nina mke na mtoto mmoja ila kale katabia ka kupiga chabo bado kananisumbua mpaka nikuwa namvizia mke wangu akiwa anaoga au akiwa amekaa kihasara nampiga chabo bila yeye kujua hapo napata raha na moyo kusuuzika...Nataka niache haka katabia nifanyaje?

0 comments:

Post a Comment