Friday, August 29, 2014

MAKUBWA DUU HUYU DIVA THE BOSS KUMVUA NGUO ZITTO KABWE HADHARANI

Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, hivi karibuni baada ya zitto kumkana Diva mtangazaji wa alla za roho wa clouds FM, Kuwa hajawahi kuwa naye kimapenzi na Diva amekuwa akijitangaza sana amekuwa naye kimapenzi, sasa Diva kamuanika hadarani ona hapo chini, ila duu huyu mwanamke ni kiboko,salaleeeeee



0 comments:

Post a Comment