Sunday, August 31, 2014

Hili Jimama Litaniua, Kila Akitaka Mambo Anamtoroka Mume Wake na Kuniita Hotelini Nimshughulike...SOMA FULL STORY HAPA


Admin RAHA BONGO Huyu Mama Hapo kwenye Picha Anataka kuniua tu mimi kijana bado mdogo, Nilikutana naye Mlimani City Pale Game alikuwa akifanya shopping na watoto wake wadogo sasa vitu alivyonunua vilikuwa vingi nikamsaidia kuvipeleka kwenye gari lake , akanishukuru na kuniomba number yangu ya simu, sasa kuanzia hapo tukawa tunawasiliana lakini siku zilivyozidi kwenda tukajikuta tunachat mambo ya mapenzi na siku moja tukakutana nikampa dozi 3 za nguvu, sasa imekua shida maana kila week ananitafuta mara mbili nimpe mambo eti anasema mume wake hawezi mambo , kila mara huwa analipia hoteli yeye na kila kitu mpaka vinywaji mimi kazi yangu ni dozi , sasa nimejaribu kumchumguza nimengundua ni Mke wa Mwanasiasa Maarufu hapa Tanzania. Nimeingiwa na Woga nahofia maisha yangu mimi bado mdogo ndio natafuta maisha.. Naomba Ushauri ...

0 comments:

Post a Comment