Sunday, August 31, 2014

DIAMOND AINGIZWA MJINI NA WAJANJA HUKO NCHINI GERMANY...SOMA KILICHOMKUTA HAPA



Kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany.
kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jinsi watu walivyoamua kujitolea kuja kutusupport vijana wao kwa wingi, halaf mwisho wa siku promoter
anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri.
.. najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed... lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoter...hivyo nisingeweza kujiamulia kuja muda ninaoutaka mimi...

0 comments:

Post a Comment