Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake  yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE  anakifanya hapa mjini kumfikia jamaa yake  huko SAUZI kupitia jamaa  ambao wanampa  ripoti zote kutoka hapa BONGO na hivyo kupelekea  kuhatarisha penzi la MASOGANGE na huyo jamaa…MASOGANGE AMEAMUA KUFUNGUKA
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM  aliweka picha hiyo na kuandika kama unavyoona hapa!!!






0 comments:
Post a Comment