Audio  ya wimbo huu umefanywa hapa hapa Tanzania na producer wa Kitanzania  anaitwa Tudd Thomas ambaye ni mkali aliyetengeneza hit single kadhaa za  wasanii mbalimbali ikiwemo single ya Ndagushima ya Ommy Dimpoz na Mdogo  Mdogo ya Diamond Platnumz.Video  imefanywa na Director kutoka Kenya Kevin Bosco Jnr ambaye kwa taarifa  fupi ni kwamba ameshiriki pia kutengeneza video ya Mtanzania Ney wa  Mitego ya Mr. Ney ambayo bado haijatoka.
 
0 comments:
Post a Comment