
NI DR. ROBERT CHARLES GALLO
Makala  hii kweli inaleta kizunguzungu unaposikiliza. Sijui madocta mnasemaje  juu ya hili swala.   Kumbe Tanzania ndiyo ilikuwa ni center ya AIDS Africa? .Jitahidini hata  msio Madokta msikilize kwani imeelelezea vizuri sana. Ila ukweli hata  sijui. Na kama ni kweli basi hii ni Weapon of Mass Destruction kubwa  kuliko hata Fussion bomb la Mrusi. 






0 comments:
Post a Comment