Sunday, August 31, 2014

MARTINE KADINDA AFUNGUKA JUU YA KUMPENDA WEMA SEPETU SHUKA NAYO HAPA....


Wema akiwa na Meneja wake Martin Kadinda


Ok, hapo juu ndio ujumbe alioandikiwa meneja wa mrembo Wema Sepetu anayeitwa @mrekebishatabia. Maswali mengi yamekuja baada ya Wema kufanya show Mwanza, mpenzi wake alipokuwa akiperform jukwaani, pamoja na hayo mashabiki walio wengi wametaka kuona Wema akijishughulisha kuliko hivyo anavyo

zunguka na hawajui anafanya nini. Wema ana mashabiki wengi sana wanaompenda na kutaka mafanikio yake. Baada ya swali hilo hapa chini ndo jibu alilitoa kaka meneja wa Wema amejielezea vizuri sana. 



0 comments:

Post a Comment