![]()  | 
| Endapo utafanikiwa kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10. | 
Samaki huyu  atakurudishia uwezo wako wa zamani kabla mambo hayajaanza kukuharibikia,  tena dawa hii ni salama kwa kuwa ni kama chakula tu.
Mtaalamu wa mapishi  kutoka Culinary Chamber kwa moyo mkunjufu ameamua kushare nasi habari  hii njema. Huna nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa? Unakosa kabisa  hamu ya kufanya tendo la ndoa? Perfomance imeshuka? "Basi tatizo lako ni  'low T' au low testosterone," na ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi.
Testosterone  ni hormone inayozalishwa katika vifuko vya mbegu za uzazi wa mwanaume,  inasaidia sana sana katika kuhamasisha uwezo na msukumo wa tendo la  ndoa. Inasaidia sana pia kumaintain strong bones, muscle mass and  strength,
Testosterone  inaanza kujitengeneza na kuongezeka katika mwili wa mwaume wakati wa  adolescence na unapopevuka, na hupoteza ubora au kushuka kiwango hasa  pale unapofikia umri wa miaka 30 kwa kiwango cha asilimia 1 kila  mwaka. 
 Kukosa ubora au kushuka kwa kiwango kunasababishwa na stressau  mzongo wa mawazo ya maisha, mlo usio kamili, obesity na sababu nyingine.
 Inaposhuka ndio balaa inapoanza nawe kukosa hamu au kupungukiwa nguvu  za tendo la ndoa mfano uume kutosimama imara na kukosa hamu pengine hata  kufanya tendo chini ya kiwango kabisa na kusababisha kutomridhisha  mwezi wako.
Oysters wana 

Juu, ni hatua za kumwandaa samaki huyo

Unaonahiyo nyama baada ya kumfunua samaki huyo

Mtaalamu anasema  ukiona kinyaa wakati wa kumla, basi weka chumvi na limao kisha umle  taratibu, lakini pia unaweza kumwagia balsamic vinegar au siki kuongeza  ladha.
Dozi: vipande  viwili au vitatu vinatosha kabisa kwa dozi moja na inashauriwa kula mara  moja kila baada ya wiki moja. Kama kumla akiwa mbichi inakupa tabu basi  nunua wale wa kwenye makopo au wa kuchemsha lakini chonde chonde usile  wale wa BBQ au wa kukaanga. Baada ya kazi muulize wife atakupa majibu!!!








0 comments:
Post a Comment