This is default featured slide 1 title

UVIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA...soma full story hapa

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, August 30, 2014

REMIX: Nick Minaj AJAMBA VIBAYA Kwenye video yake ya ANACONDA.....Bofya hapa ucheke mpaka upasuke


 VIDEO ya nick minaj ambayo ni booty-shaking ambayo imefanywa cheeky remix ikiwa na addition ya sauti ya kujamba hahahah

Friday, August 29, 2014

WASTARA JUMA AZICHAPA NA MUMEWE MAHAKAMANI



WIKI iliyopita katika makala haya tuliishia pale mwigizaji Wastara Juma alivyokimbizwa na mumewe wa kwanza na kuokolewa na difenda la polisi, TUENDELEE…



APEWA TALAKA

Mwandishi: Nini kiliendelea baada ya purukushani hizo zote?
“Zilipita siku tatu mume wangu alinipigia simu akiwa na dada yake na kunitamkia kwamba ameniacha kwa talaka tatu na huyo dada yake ndiye shahidi na hiyo ilikuwa mwaka 1999.
“Haikupita miezi miwili alikuja nyumbani na kuandika talaka tatu za maandishi hivyo nikawa nipo tu nyumbani na wakati misukosuko yote ikiendelea, mama yangu alikuwa ameshafariki.

WASULUHISHWA
Mwandishi: Kwa hiyo katika kupewa talaka hizo hamkurudiana tena?
“Baada ya kunipa talaka kwenye simu wazazi wake walikuja kusuluhisha tukarudiana akaja kumchukua mtoto na akaenda kukaa naye Zanzibar huku mimi nikiwa nimepata kazi ambapo mwanangu alikaa huko kwa mwaka mmoja nilipoenda kumuona nikakuta ana utapia mlo ukweli nilisikia uchungu, niliwaambia namchukua mwanangu akanipokonya na kwenda kujifungia naye chumbani ambako nilienda na kuvunja mlango nikamchukua mtoto kwa nguvu ndipo alipokaa kwa miezi miwili akaja kuniandikia talaka ya maandishi.

APATA MCHUMBA MWINGINE
Mwandishi: Je baada ya kupewa talaka ulipata mchumba mwingine?

“Ndiyo nilipata mchumba ambaye kwa upande mwingine ni ndugu yetu ambaye alikuwa anaishi hukohuko Zanzibar lakini nilishangaa siku moja nikiwa naye pamoja na ndugu zangu wengine tumetoka kutembea, tulipofika nyumbani polisi wakaingia na kutuulizia mimi na yule mchumba ambapo walituchukua mpaka kituoni na nilipohoji walisema kwamba mume huyo wa zamani amenifuma na mwanaume mwingine wakati yeye ndiye mume wangu.


Wastara Juma akipozi.
“Tulikaa selo mpaka familia zote mbili zilipokuja na kuzungumza lakini hawakufikia muafaka, nikaomba ile kesi ipelekwe mahakamani kwa sababu sikuwa mke wa mtu, tukaenda mahakamani yule kijana ambaye ndiyo tulikuwa tunaanza uchumba yeye hakuwa na makosa tukabaki mimi na huyo mwanaume.

“Ilikuwa ni kama sinema kwani kila tulipokuwa tukikutana mahakamani tulikuwa tunapigana sana mpaka mahakama ikaamua kutuhamishia kwenye mahakama ya Kadhi (inayoshughulika na masuala ya ndoa) ambapo mwanaume huyo alidai kwamba anataka arudishiwe mahari yake nikaomba kesi ihamishiwe Dar, nikakubaliwa.

“Kabla sijafika Dar nikakuta ameshaniwahi na kwenda BAKWATA ambako alitakiwa anipe talaka lakini akaandika majina tu na kuondoka, Bakwata walinisaidia tukapeleka mahakamani ambapo tangazo la mahakama kutoa talaka lilitangazwa kwenye magazeti ya serikali kwa siku 39 ili mwenye pingamizi apeleke lakini hakuna aliyejitokeza hivyo nikapewa talaka na mahakama.

Mwandishi: Baada ya kumalizana na mumeo huyo uliendelea tena na yule mchumba?


“Niliendelea naye lakini tukiwa kwenye kuchunguzana siku moja nilikwenda kumtembelea kwao akaja mwanamke akawa anazungumza maneno mengi yakimhusu huyo mchumba kumbe alikuwa ni mwanamke wake, alipoondoka huyo jioni yake akaja mwingine akiwa anamuulizia na kesho yake akaja wa tatu ambaye alikuwa akilalamika kwamba huyo mwanaume anasikia ana mchumba wakati yeye ni mwanamke wake.


SHAMSA FORD: SINA RAFIKI STAA BONGO MOVIES!


STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana rafiki yeyote maarufu ndani ya Bongo Movies.
Staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford.

Akizungumza na paparazi wetu, Shamsa alisema kuwa tangu huko nyuma alishawafuta marafiki wote ambao ni wasaliti na badala yake mtu pekee ambaye ni rafiki yake ni mwigizaji mwenzake, Wellu Sengo ambaye anachipukia.

“Unajua ni bora uwe hata na rafiki mmoja ambaye anakujali na kukuthamini, wengine wote mimi niliwafutilia mbali kwa sababu ukiwa nao wengi wanaweza kukutia hata ‘stress’ zisizokuwa na maana kabisa,” alisema Shamsa.

Shahidi Aelezea jinsi Alivyofanyishwa Mapenzi na Mganga wa Jadi


Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi alivyoingiliwa kimwili na mganga huyo kwa madai kwamba atampatia dawa ya kupata mtoto.

Mwanahamisi Omary (26) alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassan Juma kuwa alimfahamu mganga huyo baada ya kusumbuliwa na tumbo la uzazi kwa muda mrefu.

Akiongozwa na Wakili wa Serikali Felista Mosha, Mwanahamisi alidai alikuwa akitibiwa ugonjwa huo bila ya kutoa taarifa kwa mumewe Edrick Elinezer. Alidai alitibiwa kwa miezi sita bila ya mafanikio.

Shahidi huyo alidai Aprili, mwaka huu, Michael alimwambia kuwa ana majini hivyo hawezi kupata mtoto na kumpatia dawa kwa ajili ya kunywa na kuoga.

Alidai mganga huyo alikuwa akimtibu nyumbani kwake lakini baadaye alihamishia ofisi yake katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Kigogo Luhanga na kudai kuwa mganga huyo alikuwa akipaka dawa katika uume wake na kumuingilia kimwili huku akiwa hajitambui kwa madai kwamba atamsaidia kupata mtoto.

Aliendelea kudai kwamba baada ya kutokuwa na mawasiliano kwa muda mrefu na mumewe, alipata taarifa kuwa mume wake alipigiwa simu na mganga huyo na kumtaka apeleke gari lake Toyota Rav4 lenye namba za usajili T 139 BSG maeneo ya Jangwani kwa kuwa majini ya mkewe yanataka mtoto.

Awali, Hakimu Juma alisema wadhamini wa mshitakiwa wanatakiwa kumtafuta mshitakiwa huyo na kumfikisha Mahakamani hapo, aliwatahadharisha wasipofanya hivyo kwa wakati watalipa faini ya Sh milioni sita kwa kila mmoja.

Michael alidaiwa Aprili 29, mwaka jana, maeneo ya Jangwani Wilaya ya Ilala, alijipatia gari aina ya Toyota Rav4 T 139 BSG lenye thamani ya Sh milioni 12 mali ya  Eliezer kwa njia ya udanganyifu. Kesi hiyo itasikilizwa  tena Septemba 18, mwaka huu.

BREAKING NEWS....MADAWA YA KULEVYA: DIAMOND KIMENUKA


NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yupo kikaangoni, habari zinadai kwamba kila anaponyanyua miguu, kikosi cha kupambana na kuzuia madawa ya kulevya nchini chini ya kamishna wake, Godfrey Nzowa nao wananyanyua miguu yao kumfuatilia, Amani limesheheni.


Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi.

Habari za kiintelijensia zilidai kwamba, kisa cha kikosi hicho kufanya hivyo kinadaiwa kuwa, serikali inamhofia kujihusisha na biashara hiyo haramu ya kusafirisha madawa ya kulevya ‘unga’ nje ya nchi kwa kutumia kivuli cha kwenda kufanya shoo.
Akizungumza na wanahabari wetu jijini Dar, Jumatatu iliyopita, afisa mmoja wa ngazi ya juu wa kitengo hicho ambaye hakupenda kuchorwa jina gazetini, alisema Diamond amepewa maelekezo yote muhimu.

MAELEKEZO ALIYOPEWA


“Tumempa maelekezo Diamond, atuletee mikataba ya shoo zote anazokwenda kuzifanya nje ya nchi ili tujiridhishe kama kweli ni halali au anakwenda kwa ajili ya biashara nyingine.

“Hiyo yote inatokana na uchunguzi wetu kwake kuhusu akaunti zake za benki kuonesha kwamba ana fedha nyingi sana zinazotia shaka kama amezipata kihalali,” alisema afisa huyo.

‘Diamond Platnumz’ akiwa kazini.

KUNUNUA NYUMBA
Afisa huyo aliendelea kusema kwamba, uchunguzi wao pia umebaini kwamba, msanii huyo wa Bongo amekuwa akinunua nyumba kila anaporejea kutoka kwenye shoo zake nje ya nchi, jambo ambalo taasisi haiamini kama kweli analipwa pesa nyingi kwa shoo moja, kiasi cha kumwezesha kununua nyumba jijini Dar.


“Tumebaini kwamba Diamond kila akirudi nchini kutoka kwenye shoo zake hununua nyumba. Analipwa kiasi gani cha fedha kule kwenye shoo? Hapa ndipo tunaposimamia sisi,” alisema afisa huyo huku akigongea msumari kuwa Diamond mwenyewe amekatazwa kuzungumza kwenye vyombo vya habari kuhusu kutakiwa kuwasilisha mikataba ya shoo zake za nje.


 KUNA UKWELI?

Amani lilifuatilia na kubaini kwamba, Diamond aliporejea kutoka kwenye safari yake ya Marekani hivi karibuni, alinunua nyumba kwa Sh. milioni 80 iliyopo maeneo ya Mwananyamala-Magengeni, Dar.

Siku za nyuma, msanii huyo aliwahi kuripotiwa kununua nyumba zaidi ya mbili maeneo ya Kijitonyama, Dar, kiasi cha kuandikwa na vyombo vya habari kwamba amenunua mtaa.


Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa.
KUHUSU AKAUNTI YA BENKI

Diamond mwenyewe aliwahi kuhojiwa katika Kipindi cha Take-One kinachorushwa hewani na CloudsTV ambapo alipoulizwa akaunti yake inasomaje, alijibu kuwa ina zaidi ya bilioni moja hivi.


DONDOO ZA UWEZO WA DIAMOND

1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1.
2. Yupo kwenye mazungumzo na promota wa Rwanda kufanya shoo moja ya uwanjani ambayo anaweza kulipwa dola 120,000 (zaidi ya Sh. milioni 190).


3. Malipo ambayo hupokea kwa shoo zake nyingi za nje ya nchi hayashuki chini ya dola 25,000 (zaidi ya Sh. milioni 40).
4. Tangu mwaka 2011 mwishoni akaunti yake haijawahi kushuka chini ya Sh. milioni 100.
5. Anamiliki nyumba kadhaa jijini Dar ambazo amepangisha watu.
6. Ili kuvunja mkataba na aliyekuwa meneja wake, Papa Misifa ilibidi amlipe Sh. milioni 18.


NZOWA AZUNGUMZA NA AMANI

Gazeti hili lilimtafuta Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Nzowa ambapo alipopatikana na kuulizwa, alisema:


Sehemu ya madawa ya kulevya yaliyowahi kukamatwa.

“Ni kweli! Sisi kila mtu mwenye kipato cha kutia shaka lazima tumchunguze. Diamond kama ana mali zote kwa nini tusimchunguze. Ikithibitika anajihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya ama zake ama zetu huo ndiyo utaratibu wetu.”

DIAMOND SASA
Amani lilimsaka Diamond na kumuuliza kama analijua kasheshe hilo ambapo alisema:
“Najua, ila nimegundua kuna watu wamepanga kunishusha chini kisanii ndiyo wanaoeneza taarifa kwamba mimi nasafirisha unga.”

Amani: Sasa unadhani kwa nini hao watu unaosema wamependa kukushusha kisanii wasitumie njia nyingine, hasa ya sanaa wakatumia hiyo ambayo unasema si kweli?
Diamond: We elewe hivyo kaka (akakata simu).

SAFARI ZA NJE
Kwa kipindi kirefu sasa Diamond ambaye ni mpenzi wa Wema Isaac Sepetu, amekuwa akisafiri nchi mbalimbali kwa shoo na mambo binafsi ambapo mbali na nchi kibao za Bara la Afrika, ameshasafiri nchi nyingi zikiwemo Marekani, Uingereza, China, Norway, Ujerumani, Dubai na nyinginezo. 

Miguno ya Kimapenzi Kutoka Chumba cha Jirani Inanihamasisha


Mimi ni Kijana wa Miaka 25, Mimeanza kazi hivi karibuni ikanilazimu kutoka nyumbani na kupanga maeneo ya kijitonyama ...Sasa hiyo nyumba niliyopanga kuna wapangaji wengine mmoja  ni mwanamke ambae dirisha lake lipo karibu na chumba changu...

sasa kila usiku ninapata shida kwa kelele za huyo dada akiwa anafanye mapenzi , Huwa analia kwa nguvu sana kwa mihemo ya kutia hamasa kama anafika kileleni vile tena huchukua muda mrefu kulia ..na hulia kwa nguvu bila kujali kuna majirani wanasikia...

Sasa sometimes inanifanya mpaka napandwa na mzuka natamani na mimi nimtongoze ...kwani nikisikia hizo sauti zake huku chini mambo yanaharibika kabisa naishia kujichua huku nikimfikiria...

Je nifanyaje, Nihame au na mie nimtokee nipate utamu huo?Hide my Name Pliz

HOTEL YA KIFARI YATEKETEA KWA MOTO JIJI MBEYA...SOMA ZAIDI.....


Huu ndio mwonekanowa hoteli hii kwa mbele.

Hapa ni upande wa nyuma wa hoteli hii, ambapo ndipo moto ulipo anzia kuiunguza hotel hii.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio ilo,wakiwa kwenye eneo la tukio.

Chanzo cha moto huu hakijaweza kufahamika kwa haraka, ila endelea kuwa nasi tutakujuza habari zote kadri ya uwezo wetu.

Hii Kali-Condoms Zinazoletwa Africa Haziwatoshi Watu Asia soma hapa ujuje sababu


A survey of more than 1,000 men in India has concluded that condoms made according to international sizes are too large for a majority of Indian men.
The study found that more than half of the men measured had penises that were shorter than international standards for condoms.
It has led to a call for condoms of mixed sizes to be made more widely available in India. The two-year study was carried out by the Indian Council of Medical Research. Over 1,200 volunteers from the length and breadth of the country had their penises measured precisely, down to the last millimetre. The scientists even checked their sample was representative of India as a whole in terms of class, religion and urban and rural dwellers.

The conclusion of all this scientific endeavour is that about 60% of Indian men have penises which are between three and five centimetres shorter than international standards used in condom manufacture. Doctor Chander Puri, a specialist in reproductive health at the Indian Council of Medical Research, told the BBC there was an obvious need in India for custom-made condoms, as most of those currently on sale are too large. The issue is serious because about one in every five times a condom is used in India it either falls off or tears, an extremely high failure rate. And the country already has the highest number of HIV infections of any nation.

Not a problem'
Mr Puri said that since Indians would be embarrassed about going to a chemist to ask for smaller condoms there should be vending machines dispensing different sizes all around the country. "Smaller condoms are on sale in India. But there is a lack of awareness that different sizes are available. There is anxiety talking about the issue. And normally one feels shy to go to a chemist's shop and ask for a smaller size condom." But Indian men need not be concerned about measuring up internationally according to Sunil Mehra, the former editor of the Indian version of the men's magazine Maxim. "It's not size, it's what you do with it that matters," he said. "From our population, the evidence is Indians are doing pretty well. "With apologies to the poet Alexander Pope, you could say, for inches and centimetres, let fools contend."

Penzi la Mainda Lagombewa na Wanaume WANNE...SOMA ZAIDI


Staa  wa  Filamu  za  Kibongo  aliyeamua  kumpokea  Yesu, Ruth Suka  'Mainda'  amesema  amekuwa  akipata  wakati  mgumu  kumjua  mwanaume  wa  kweli  ni  yupi  ambaye  anaweza  kumuoa  na  ndoa  yake  ikawa  na  raha  badala  ya  majuto  kama  ilivyo  kwa  baadhi  ya  wasanii  wenzake....

Mainda  alisema  hakuna  kipindi  kigumu  kama  kujua  yupi  ni  mwanaume  sahihi  wa  kumuoa  na  hili  limekuwa  likiutesa  moyo  wake  japo  sasa  ameamua  kumwachia Mungu  wake  ili  amsaidie  kwani  kwa  akili  zake  ameshindwa...

"Hakuna  wakati  mgumu  kama  kipindi  cha  kumpata  mume  sahihi  kutoka  kwa  mungu, kwani  ukijichanganya  unaweza  kuchukua  mwanaume  ambaye  si  wako  na  kusababisha  kuwe  na  mafarakano  ndani  ya  ndoa  na  hili  ndio  linaumiza  kichwa  changu  kwani  mpaka  sasa  sijajua  ni  yupi  kati  ya  wengi  wanaohitaji  kunioa," alisema  Mainda

Msanii  huyo  alisema  anajifunza  mambo  mengi  kupitia  ndoa  za  watu  waliomtangulia  kwani  nyingi  zimejaa  vurugu  likiwemo  suala  la  kusalitiana  na  kuambukizana  magonjwa  ya  zinaa  kama  vile  Ukimwi  na  menginenyo, hivyo  naye  hatapenda  awe  miongoni  mwa  ndoa  hizo