Friday, May 16, 2014

Lulu Amtuma Diamond Kwa Jestin Bierber, Ampe Salama Atakapo Enda Tuzo za BET....



Hii ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye ramani ya Dunia,imekua ni good news kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla,baadhi ya mastar wa Tanzania wamekubali kutoa ya moyoni baada ya taarifa hiyo miongoni mwao ni pamoja na Mkubwa Fela,Wema Sepetu,Lulu Michael Ay,Belle 9,Vanesa Mdee na wengine kibao. Lakini Kuna kaujumbe kakushangaza kidongo ambako lulu amemuachia Platnumz Pindi atakapofika Marekani!!

0 comments:

Post a Comment